Gumzo la Ghassani
Gumzo la Ghassani
  • Видео 627
  • Просмотров 2 339 466

Видео

Kutoka Nairobi hadi Tübingen, safari ya Dk. Kosgei | GUMZO NA WALIMU WETU
Просмотров 117Месяц назад
Safari ya kimasomo ya Jacky Kosgei ni ya kusgangaza. Katika umri mdogo alionao, tayari ni profesa msaidizi katika Chuo Kikuu cha Tübigen. Hapa tunazungumzia safari hiyo na kile anakifanya sasa kwenye Chuo Kikuu hicho cha Ujerumani.
UWAPE wakiadhimisha Kiswahili ulimwenguni
Просмотров 329Месяц назад
UWAPE wakiadhimisha Kiswahili ulimwenguni
Je, Wairaqw wa Tanzania wana asili ya Kiarabu? | GUMZO NA WALIMU WETU
Просмотров 3,1 тыс.Месяц назад
Mwalimu Lightness Isojick anafundisha Skuli ya Msingi ya Blue Rhino International iliyoko kaskazini mwa Tanzania. Yeye ni mwenyeji wa Karatu kutoka kabila la Iraqw. Anasimulia hapa kuhusu lugha na fasihi ya watu wake.
Prof. Laura Fair na kuifundisha Afrika ndani ya Marekani | GUMZO NA WALIMU WETU
Просмотров 251Месяц назад
Uhusiano baina ya Afrika na Marekani una historia iliyopitia mikondo mingi, ukiwemo mkondo uchungu wa utumwa uliofanywa kikatili na Wamarekani dhidi ya Waafrika. Profesa Laura Fair anajaribu kuifafanuwa mikondo hii kwa wanafunzi wa Kimarekani na wakati huo huo akijielekeza kwenye ukombozi wa kifikra. Msikilize hapa kwenye Gumzo na Walimu.
The House of Wonders continues to show wonders, but as a documentary
Просмотров 731Месяц назад
'A House of Wonders: Omani Presence in East Africa', a three-part captivating documentary on the historic relations of Oman and East Africa.
Prof. Mutembei na Kujikolonisha na Uchawa wa Wasomi | GUMZO NA WALIMU
Просмотров 171Месяц назад
Profesa Aldin Mutembei wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam anahoji kwamba wakati Afrika ikipigania kujiondowa kabisa kwenye minyororo ya kikoloni zaidi ya miaka 50 baada ya uhuru, inapaswa kwanza kuuondowa ukoloni kwenye akili ya watu wake, hasa hasa wale waitwao wasomi.
Bi Mariam Hamdani, kichwa kilichojaaliwa mengi | GUMZO NA WALIMU
Просмотров 4,5 тыс.Месяц назад
Bi Mariam Hamdani, kichwa kilichojaaliwa mengi | GUMZO NA WALIMU
UWAPE wamtafuta mlezi wao kwa udi na uvumba
Просмотров 135Месяц назад
UWAPE wamtafuta mlezi wao kwa udi na uvumba
Othman Masoud azungumzia mtazamo wake kuhusu uongozi, Muungano | GUMZO MAALUM
Просмотров 5 тыс.Месяц назад
Kwenye mazungumzo haya maalum na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Othman Masoud Othman, tunazungumzia mtazamo wake kuhusu uongozi, Muungano, na mustakabali wa Zanzibar.
Kutana na Mkuu wa Kamisheni ya Kiswahili ya Afrika Mashariki | GUMZO NA WALIMU
Просмотров 430Месяц назад
Dk. Caroline Asiimwe anaongoza Kamisheni ya Kiswahili ya Afrika Mashariki yenye makao yake makuu kisiwani Unguja, mwenyewe akiwa mwenyeji wa Uganda, alikosomea na kufundisha Kiswahili. Ndiye mwalimu wetu kwenye gumzo la leo na walimu wetu.
Trilingual Reading of N'na Kwetu: Swahili, English, Spanish | M. Ghassani, M. Arenberg and C. Perez
Просмотров 1212 месяца назад
Trilingual Reading of N'na Kwetu: Swahili, English, Spanish | M. Ghassani, M. Arenberg and C. Perez
Lugha ya Kiafrika kwa Ukombozi wa Muafrika
Просмотров 1952 месяца назад
Mary Charwi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam anafanya utafiti juu ya uhusiano kati ya lugha, nguvu na fikra za ukombozi katika muktadha wa Afrika, akiwa na lengo la kuchunguza sauti za Kiafrika katika kusaka ukombozi wa Muafrika na kubainisha juhudi zinazofanywa na baadhi ya viongozi wa Kiafrika katika kulinda na kujikomboa na ukoloni mamboleo. Kusudio la utafiti huo aliliwasilisha kwenye Kongam...
Kujikolonisha na Hatari za Wakati Tuliomo
Просмотров 3272 месяца назад
Katika mada hii aliyoiwasilisha kwenye Kongamano la 36 la Kiswahili la Bayreuth (Mei 17-19, 2024), Profesa Aldin Mutembei wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam anajadili dhana ya kujikolonisha kama mbinu ya kisasa inayodhamiria kuyarudisha mawazo ya "afadhali wakati wa mkoloni", ambayo ni hatari kwa uhuru wa fikra na uhuru wa Waafrika.
Decolonizing the Mind: Mazungumzo na Ngugi wa Thiong'o na Abdilatif Abdalla
Просмотров 4372 месяца назад
Wanaharakati wawili wa mageuzi ya Afrika, Ngugi wa Thiong'o na Abdilatif Abdalla, wanazungumza kwenye Kongamano la 36 la Kiswahili la Bayreuth juu ya kujikombowa kutoka fikra za kikoloni.
'Wenyeji Wakigenishwa' and 'The Foreigner's Home'
Просмотров 1412 месяца назад
'Wenyeji Wakigenishwa' and 'The Foreigner's Home'
Ukombozi wa Maarifa Asilia ya Kiafrika katika Zama za Utandawazi
Просмотров 3972 месяца назад
Ukombozi wa Maarifa Asilia ya Kiafrika katika Zama za Utandawazi
Ukomboaji wa Fikra: Ngugi baina ya Lugha na Tafsiri
Просмотров 5142 месяца назад
Ukomboaji wa Fikra: Ngugi baina ya Lugha na Tafsiri
Ida Hadjiyavanis adhamiria kuzirejesha kazi za Gurnah nyumbani
Просмотров 9952 месяца назад
Ida Hadjiyavanis adhamiria kuzirejesha kazi za Gurnah nyumbani
Kuvumilia: Jinsi Mombasa Inavyokabiliana na Athari za Mradi wa BRI
Просмотров 5332 месяца назад
Kuvumilia: Jinsi Mombasa Inavyokabiliana na Athari za Mradi wa BRI
Translating Home. Kuitafsiri Nyumbani
Просмотров 3602 месяца назад
Translating Home. Kuitafsiri Nyumbani
Avoiding Onto-Epistemicide through Matterphorical Translation
Просмотров 1102 месяца назад
Avoiding Onto-Epistemicide through Matterphorical Translation
Uzinduzi wa tafsiri ya Kiingereza ya 'Sauti ya Dhiki'
Просмотров 4032 месяца назад
Uzinduzi wa tafsiri ya Kiingereza ya 'Sauti ya Dhiki'
Profesa Rayya Timamy azichambuwa kazi za Bi Zainab Himid
Просмотров 1,3 тыс.2 месяца назад
Profesa Rayya Timamy azichambuwa kazi za Bi Zainab Himid
Kijana muuaji aliyepewa ufalme
Просмотров 2305 месяцев назад
Kijana muuaji aliyepewa ufalme
Hadithi ya seremala aliyepata mke mrembo akanyang'anywa na mfalme
Просмотров 2855 месяцев назад
Hadithi ya seremala aliyepata mke mrembo akanyang'anywa na mfalme
LADHA ZA GHASSANI: Unimilikiye
Просмотров 4355 месяцев назад
LADHA ZA GHASSANI: Unimilikiye
Shukrani, Khalid wa Ghazza
Просмотров 3307 месяцев назад
Shukrani, Khalid wa Ghazza
Maulid ya Maalim Seif
Просмотров 2618 месяцев назад
Maulid ya Maalim Seif
Mwisho wa Hadithi
Просмотров 2838 месяцев назад
Mwisho wa Hadithi

Комментарии

  • @shaficabdalaziiz218
    @shaficabdalaziiz218 6 часов назад

    Dah sauti ni ile ile, madhaaAllah

  • @Hassannur-oe5tx
    @Hassannur-oe5tx 4 дня назад

    Wairaqw ni wasomali wetu tulippteleana we need to claim

  • @Hassannur-oe5tx
    @Hassannur-oe5tx 4 дня назад

    Wairaqw Wana ukaribu na rendile na wasomali

  • @josephmwangi3198
    @josephmwangi3198 5 дней назад

  • @Yayouselim
    @Yayouselim 11 дней назад

    Ghassan wew kiboko

  • @rahamuha1932
    @rahamuha1932 12 дней назад

    Hahaha eti mitoto ya zamani ilikua mizuzu😂

  • @YohanaJoshua-g3p
    @YohanaJoshua-g3p 12 дней назад

    Waislam ni walalamishi sana mpewa nafasi nyingi sana na serikali hijabu mnavaa mbona mnapenda vita vya nini

  • @YohanaJoshua-g3p
    @YohanaJoshua-g3p 12 дней назад

    Serikali inahofia usalama wa nchi

  • @AllyKhamis-n1k
    @AllyKhamis-n1k 12 дней назад

    Asante Mh Rais mpendwa nakuaminia mkuu

  • @user-hp7yb3tn2t
    @user-hp7yb3tn2t 15 дней назад

    ukweli huyu msomaji wa qaswida hii ndio aliumia zaidi na nimefanya uchunguzi anakasida nyingi na nzuri na hana makuu lakini jamii haioni hizi kazi zake kwa jina anaitwa Sheikh Issa Qaswida nimepekua youtobe yake huyu kija sio wakawaida

  • @SuadAlbarwani
    @SuadAlbarwani 18 дней назад

    😢Mwenye Enzi Mungu Mkubwa

  • @SuadAlbarwani
    @SuadAlbarwani 18 дней назад

    Kweli Unguja njema atakae na are.

  • @lenniefei6710
    @lenniefei6710 19 дней назад

    Sultan Said Khalifa aliifnyia makubwa Zanzibar japo kuna watu fulani wanadai alikua Kibaraka, Jee hawa viongozi walioko leo ambao 'sio vibaraka' wamewafanyia yepi waZanzibari ???????????

  • @lenniefei6710
    @lenniefei6710 19 дней назад

    Kitu kinachonikwaza na kuniuma hadi waleo ni kwanini Sultan Jamshid Al Busaidi na Mohd Shamte waliuza mwambao kwa nchi ya Kenya bila kuhusisha watu wa mwambao (Mombasa) wenyewe na kutuletea madhila makubwa kwa kupoteza ardhi zetu, biashara, tamaduni, na kadhalika hadi leo hii 😢😢😢😢

  • @jumafaki7473
    @jumafaki7473 22 дня назад

    labta haijulikani llipo, wanahistoa wote afrika mashariki ,hamjagika kilwa , itakua maajabu ,ya wanahistorua wa ajabu ulimwengu , ngombe kilwa inatarehe mlangoni mpaka Leo, 1123,hijiria

  • @KautharHamad-o1y
    @KautharHamad-o1y 23 дня назад

    Allah akupe maisha mema pepon baba yetu tunakukumbuk Kila masaa

  • @willykhatambi9226
    @willykhatambi9226 25 дней назад

    Kifo huna huruma

  • @user-ik4xc5vh7b
    @user-ik4xc5vh7b 26 дней назад

    Allah akulipe maalim kw jihaad ulioifanya

  • @111dudi
    @111dudi 26 дней назад

    Kuna ubaguzi uliojificha.

  • @hajiameir8688
    @hajiameir8688 28 дней назад

    Karume alikuwa chenga hamna kitu kazidiwa kete na Nyerere na mwenyewe anathibitisha hayo na zanzibar kaipeleka Tanganyika kwa nyerere kiuzembeuzembe tu mpaka leo tunapata shida

  • @philipmarmo3522
    @philipmarmo3522 Месяц назад

    Ni "Wairaqw" na siyo Wairaq au Wairaki. Wairaqw kutokea Iraq ni propaganda za kina Mwalimu Mzee na walimu wenzake wa shule ya kati, Endagikot walipoandika kitabu cha kwanza cha historia ya Wairaqw. Ukitakaka kufahamu aslli hasa ya Wairaqw pengine ni vema kujaribu kufahamu asili ya makabila ya Ethiopia ya Kaskazini na Eritrea (DNA inathibitisha ukaribu wao na Wairaqw). Makabila hayo hayakutokea Iraq, ila maeneo ya Afrika Kaskazini na Syria. Kutoka enzi Ibrahimu na kabla, watu walioishi Iraq ya sasa wanajulikana na hakukuwa na watu kama Wairaqw!

  • @mtambileenglishmediumschoo154
    @mtambileenglishmediumschoo154 Месяц назад

    Mashallah uwape hongereni sana

  • @HarounAnnabhany
    @HarounAnnabhany Месяц назад

    MashaAllah shairi zuri kweli

  • @a.856
    @a.856 Месяц назад

    Jazakallah khayran

  • @mohamedsaid3313
    @mohamedsaid3313 Месяц назад

    Amiiin yarabbi

  • @mohamedsaid3313
    @mohamedsaid3313 Месяц назад

    Mashalah hahaa jamaani uwape

  • @mrafm7285
    @mrafm7285 Месяц назад

    60% ya kiswahili ni kiarabu sio 40%

  • @aladinynur7915
    @aladinynur7915 Месяц назад

    From Iraq to Ethiopia before Suez canal built following great rift wall to South Africa

  • @smallscaleminingsupplies9670
    @smallscaleminingsupplies9670 Месяц назад

    We badala ya kusema waarabu wana asili ya waairaq we unasema waairaq ndio wana asili ya waarabu

  • @veronicasafari600
    @veronicasafari600 Месяц назад

    Hatimaye wairaqw tumefka Majuu

  • @samwelpanga2404
    @samwelpanga2404 Месяц назад

    Wairaqw wenzangu weka like hapa tu enjoy

  • @bajagihaji8923
    @bajagihaji8923 Месяц назад

    Asante dada historia nzuri kujua❤

  • @arafaamour7952
    @arafaamour7952 Месяц назад

    MashaAllah MashaAllah 😘

  • @lumage
    @lumage Месяц назад

    Desi Laway

  • @Grataaaaa
    @Grataaaaa Месяц назад

    Mungu wao juwa hatr xnaa

  • @zaneco
    @zaneco Месяц назад

    Interesting, endelea kuwahoji watu kama hawa wanaoelezea history bila ya kuingiza siasa

  • @saidkhamis6157
    @saidkhamis6157 Месяц назад

    Mimi na Salma Yahya na Fatma Makame hadi Uzeeni 💚💚💚

    • @arafaamour7952
      @arafaamour7952 Месяц назад

      Kwa kawaida mtu hula chakula akipendacho😅, jaribu na chakula hicho pia hwenda ukakipenda😘

  • @saidnoumani7244
    @saidnoumani7244 Месяц назад

    Dada mnafanana na sura za kiarabu you look beautiful

  • @alialamoudi9729
    @alialamoudi9729 Месяц назад

    Usisahau kwamba zanzibari ili pata uhuru kamili salama salimin hata karume alisherekea uhuru NA elikua serekali ya halali ilichaguliwa NA wazanzibari wenyewe sasa yeye alishiriki katika mauaji zaidi ya waaslaam elfu ishirini bila ya hatia ni raia tu hawana silaha yeye NA nyerere NA jhon okeli NA mjeshi ya tanganika NA ungereza NA kuiteka nchi NA hayo ni kupiga uslaam tu

  • @Abdullatifkilupy-tn6ii
    @Abdullatifkilupy-tn6ii Месяц назад

    Hahaha nimefurahi sana. Ila nilikua nacheka sheikh Mohammed ulivokua unashangaaa. 😂😂 Hongereni sana. Kiswahili ni urithi unaopaswa kudumishwa kwa hali na mali.

  • @kassimabdullah6372
    @kassimabdullah6372 Месяц назад

    Ukiachilia mbali usafi wa lafdhi yake, Kiswahili cha Prof. Laura ni cha hali ya juu sana na naweza kusema kuwa anawashinda wengi wa wanaojinasibu na Uswahili hasahasa vijana wanaoondokea. Si siri hata kidogo kuwa vijana wa siku huzi wana upungufu mkubwa sana wa uwezo wa kujielezea kwa lugha ya Kiswahili. Imekuwa kama ni kilema, vijana wengi siku hizi hawawezi kuzunmza sentensi chache bila ya kuchanganya na Kiingereza. Huyu bibi kwa kiasi fulani amejaribu sana kujiepisha na hali kama hivo.

  • @faisaloaljabry6400
    @faisaloaljabry6400 Месяц назад

    Nimependa sana kumsikia Muirak akijibu na kujielezea kwa ufasaha lakini pia nimestuka kusikia wairak wana misamiati ambayo haiko katika kiswahili lakini iko katika misamiati ya kiarabu. Hii inaisharia pia kua kulikua na mahusiano halisi baina ya waarabu na wairak au ni watu wa asili moja

  • @elimukwanza4657
    @elimukwanza4657 Месяц назад

    Kwanini anasema Luga na anaweza kusema Lugha

  • @d15355
    @d15355 Месяц назад

    Hawa wairaq kwa ufahamu wangu na jinsi nilivyokaa nao asli yao ni ethiopia na wanafanana na wale Amhara wa wa kule, ila sio waarabu wa iraq ni neno tu linafanana nalo, ila sio, bali ni jami ya semitic kama wale amhara na waeritrea ndio jamii yao,ila eleweni kuwa maeneo yoote ya centra Tz kwenda juu asli yake ni maeneo ya makabila ya kiethiopia na yale yenye asli ya kisomali na yale ya kinilotics na bushmen wabantu waishio sasa wameamia miaka ya karibuni tu kama 300-350 nyuma, hao ndio wenyeji asli wa maeneo hayo

    • @sulebaajun6015
      @sulebaajun6015 Месяц назад

      Unajua wa Amhara na waarabu ni walewale?

    • @d15355
      @d15355 Месяц назад

      @@sulebaajun6015 ni race moja hiyo tunakubali ila ishu hapa ni je walitoka iraq kama wanavyodai? jibu hapana hili ni muendelezo wa makabila ya kiethiopia sio waarabu wa iraq,sababu semitic people hawapo waarabu peke yao kuna waarabu,wayahudi,amhara,copts,tigrinya,wasyria wa kale etc hivyo point itabaki palepale kuwa hawa wana relate more na waethiopia.

    • @sulebaajun6015
      @sulebaajun6015 Месяц назад

      @@d15355 If you look at the map, it is a stretch if they claim they came from Iraq. Kama unavyosema, Ethiopia itakuwa ni sehemu ya karibu zaidi.

  • @mohamedsaid3313
    @mohamedsaid3313 Месяц назад

    Uwape munaupiga mwingi sana watunzi na waghani .. lakini Mghani kwa hapa umeonesha kipaji kikubwa sana ktk kucheza na sauti Mashalah Mungu akizidishie na aikuze kazi yenu UWAPE

  • @DAMIANOPETRO-n8l
    @DAMIANOPETRO-n8l Месяц назад

    Loa a amen aga akhasika

  • @kassimabdullah6372
    @kassimabdullah6372 Месяц назад

    Wow! Pongezi kwa watunzi wote na pongezi nyingi zaidi kwa mghani ambaye ameonesha ustadi mkubwa wa kuogelea katika bahari za mahadhi tofauti ya kuvutia na kuliwaza nyozo za wasikilizaji. Kwa kweli nimefurahi sana kupata fursa ya kusikiliza video hii.

    • @mohamedsaid3313
      @mohamedsaid3313 Месяц назад

      Mghani kaonesha ukomaavu mkubwa ktk sauti

  • @abuualiyuu2435
    @abuualiyuu2435 Месяц назад

    Assalamu aleyku, Sheikh Mohammed hiyo ni Lugha inayoshabihiyana sana na Lugha za kiarabu. na kama Taasisi ya lugha za kigeni Zanzibar inaweza kuunganisha Lahaja kaama hizi kwa kweli Lugha ya kiswahili ingeweza kuongeza Msaamiati wake kwa kiasi kikubwa

  • @azizamri1522
    @azizamri1522 Месяц назад

    Interesting! Ideology is still holding Zanzibar behind.

  • @yohanayusuf4713
    @yohanayusuf4713 Месяц назад

    Duh! mungu mke Jua